Skip to main content
jinsi ya kutengeneza
1. chemsha maji glass kubwa 12
mpaka yachemke
2. yatoe kwenye moto weka chini
3. weka majani mekundu kijiko kimoja na nusu
4. kaa dakika 20
5. chuja
6. weka kwenye glass
7. weka sukari/asali kijiko cha
chai kimoja kama unatumia sukari/asali
8. tayari kwa kunywa
Comments
Post a Comment