1 450
grams au nanasi 1 kubwa
50
gramsTangawizi osha na menya
1
Carrot ya wastani osha menya katakata vipande vidogo
5pc Ice
cubes
1.
Menya
nanasi kisha toa ile sehemu ngumu ya kati kisha kata kata vipande vidogo.
2.
Baada ya
kukata kata nanasi vipande vidogo kisha kata karoti na tangawizi na weka katka
bleda au (or juicer).
3.
Saga vizuri
ilainike na kisha chuja kwa chujio.
Chuka vipande vya barafu na weka katika bakuli safi ulilochuja ili ipoe
na uweze mpatia mnywaji.
Comments
Post a Comment