Passion
fruit - 10
Karoti
- 7
Ndimu -
4 kamua maji
Maji -
kiasi
Sukari
- kiasi upendavyo
Namna
Ya Kutayarisha
1. Chemsha karoti hadi ziive kisha zisage na maji katika
blender.
2. Kata passion fruit toa nyama weka katika mashine
usage na maji
3. Kisha changanya vyote katika bakuli kubwa kisha tia
sukari, kisha tia ndimu
Weka katika friji ikiwa tayari.
Comments
Post a Comment