Kata parachichi nusu
Kisha toa mbegu ya kati kati chukua kijiko toa nyama ya ndani weka katika blenda kwajili ya kusaga pamoja na matunda mengine
Mahitaji
1
parachichi lililoiva
2
ndimu safi zenye maji ya kutosha
50
gram maji safi ya baridi
2
vipande viwili vya papai la kuiva
3
sukari kijiko kikubwa cha chakula
2
asali kijiko kikubwa ca chakula
5 gram
chumvi
Kwa
ladhazaidi unaweza ongeza jani la fresh mint sio lazima
Jinsi
ya kuandaa:
WEka katika blenda parachichi, vipande vya papai, jani la mint kisha anza kusaga wakati unasaga unaongezea maji kiasi ili mchanganyiko usiwe mzito sana ukashindwa kuchanganyika .
Mwisho kabisa ongezea asali, chumvi, limao na
sukari kisha blend vizuri upate mchanganikio safi na wenye ladha safi.
Kisha
weka katika friji ipoe nakushauri juisi hii kunywa muda wa mchana wakati
huu mwili unakua umejiandaa kupekea virutubisho vilivyopotea.
Comments
Post a Comment