Juisi Ya Nyanya


Mahitaji
Nyanya 1 kg
Maji Iita ½
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari

Hatua

Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.
Chuja juisi.
Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, weka
kwenya sufuria safi .
Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.
Mara ikichemka epua, pozesha na weka  kwenya chombo safi kwa
kunywa.

Comments