Nanasi
- 6 slesi
Tango
- 1 la kiasi
Sukari
- ½ Kikombe
Barafu - Kiasi
Namna
Ya Kutayarisha
1. Katakata nanasi na tango vipande vipande.
2. Kisha tia kwenye mashine ya kusagia pamoja na sukari na
vipande vya barafu.
3. Ikiwa nzito sana ongeza maji.
4. Mimina katika gilasi
Kidokezo
Vipimo hivi ni kupata takriban gilasi 6.
Comments
Post a Comment