Passion fruit - 8
Embe - 6 za kiasi
Maji - kiasi
Sukari - kiasi upendavyo
Namna Ya Kutayarisha
1.
Kata passion fruit toa nyama weka mashine ya
kusagia (blender) . Tia maji kiasi kisha saga na uchuje .
2.
Saga embe na maji kidogo kisha changanya na
juisi ya passion.
Tia sukari koroga ikiwa tayari.
Comments
Post a Comment