JUICE YA NANASI NA NDIMU


MAHITAJI.
Nanasi 1/2 (lilomenywa na kukatwa katwa)
Maji ya ndimu 2
Tangawizi kipande kidogo (ilomenywa)
Sukari kiasi ( ukipenda)
Maji safi ya kunywa kiasi
JINSI YA KUTENGENEZA
1. Tia nanasi na tangawizi katika blender kisha saga na maji kiasi hadi isagike.
2. Tia sukari kisha saga tena kidogo. Chuja juice yako, tia maji ya ndimu na koroga vizuri kuchanganya, onja kama iko sawa.
3. Mimina katika jagi kisha weka katika fridge ipate ubaridi..furahia kinywaji chako!

Comments