2.menya maganda
ya miwa hiyo au kwa lugha nyingine tunasema ondoa maganda ya miwa
hiyo.ilikusudi mua wetu ubaki ni mweupe usiwe na ganda hata moja.
3.kata miwa hiyo katika vipande vipande
4.hakikisha vipande hivyo vya mua havizidi ukubwa wa inch
moja kwani vinaweza kuharibu mapanga ya blenda yako.
5.chukua vipande
hivyo vya miwa kisha changanya na nusu kikombe cha maji kisha viweke katika
blenda,pia changanya na tangawizi kama utapenda kisha washa blenda yako na
hakikisha unasaga juice yako mpaka ukaona kua hakuna vipande vipande vya miwa.
6.sasa baada ya
kuona juice yako imekwisha sagwa vizuri chukua chujio au kitambaa kisafi kisha
chuja juice yako.
7.Na hapo ndio utakua tayari umesha andaa juice ya miwa Na Unaweza ukanywa pamoja na wenzako na
ukafurahi.
Comments
Post a Comment